Natafuta kazi yoyote

Dec 20, 2016
98
109
Majina naitwa Richard makoi
Umri 25
Mkazi dar es salaam
Elimu diploma of finance
Nakuja kwenu kutafuta msaada wa kupata kazi ajira kibarua
Na uzoefu wa miaka mitatu katika katika field zifuatazo
Cashier
Project supervisor
Municipal revenue collector
Foreman civil works
Niko dar es salaam
Contact 0657710078
 
Kuna habari nilitaka nikuulizie(unisanue) unipe majibu ila inbox huna
Sijawahi kutumia inbox,unaposema sina inbox una maanisha nini? coz kialama cha bahasha kipo hapo juu,nikikifungua kinaandika You have na recent conversations.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom