Mind stone
Member
- Dec 16, 2019
- 20
- 38
Mwenye kazi yeyote tupeane connection wakuu
Hapa ndipo vijana wengi mnapo fail, na sababu kubwa ni kushindwa kujieleza in to detailMwenye kazi yeyote tupeane connection wakuu
Mungu akufanyie wepesi upate kazi yenye staha na inayolingana na elimu yako mkuu. Kazi ngumu sana siku hz wahitimu wa vyuo vikuu wanaendesha bodaboda na kubet.Mwenye kazi yeyote tupeane connection wakuu
unajua ukitaka kuwa employed haufai kusema "nataka kazi yoyote" maana unakuwa na aslimia ndogo sana za wewe kupata kazi! Angalia ni kipi unaweza kufanya then uende ukaombe kazi!
Nipo Arusha mkuuUko wapi mkuu? Unaweza kuja hapa Karibu na China Plaza Kuna kazi ya saidia fundi malipo 15k
Kama unaweza kufika hapa ndani ya lisaa nicheki +255624254690
Mara vijana wasichague kazi, mara wawe specific. Vijana wana kazi kweli kweliunajua ukitaka kuwa employed haufai kusema "nataka kazi yoyote" maana unakuwa na aslimia ndogo sana za wewe kupata kazi! Angalia ni kipi unaweza kufanya then uende ukaombe kazi!
wewe mtu akija kwako kuomba kazi halafu aseme "nipe kazi yoyote ile" wewe unaweza kumuajiri?Mara vijana wasichague kazi, mara wawe specific. Vijana wana kazi kweli kweli
Cheza arusha Moshi huko Tours .....kibao usitoke nje circle yako ....cheza huko huko....
Nitaelewa hali anayopitia then nitaampa options za kazi zilizopo ndani ya uwezo wangu achague. Ajira ni ngumu sana vijana wanapambana sana kupata michongo lakini mtaa hausomeki. Hizo njia ambazo mnafikiri ni proffesional au decent tayari washazifanya sana na hakuna matokeo. Kwaiyo wanapoomba msaada kwa hizi informal ways tuelewe frustrations walizo nazo na tuwasaidie pale tunapowezawewe mtu akija kwako kuomba kazi halafu aseme "nipe kazi yoyote ile" wewe unaweza kumuajiri?
Kabisa kakaNitaelewa hali anayopitia then nitaampa options za kazi zilizopo ndani ya uwezo wangu achague. Ajira ni ngumu sana vijana wanapambana sana kupata michongo lakini mtaa hausomeki. Hizo njia ambazo mnafikiri ni proffesional au decent tayari washazifanya sana na hakuna matokeo. Kwaiyo wanapoomba msaada kwa hizi informal ways tuelewe frustrations walizo nazo na tuwasaidie pale tunapoweza
Sawa sawa mkuuNitaelewa hali anayopitia then nitaampa options za kazi zilizopo ndani ya uwezo wangu achague. Ajira ni ngumu sana vijana wanapambana sana kupata michongo lakini mtaa hausomeki. Hizo njia ambazo mnafikiri ni proffesional au decent tayari washazifanya sana na hakuna matokeo. Kwaiyo wanapoomba msaada kwa hizi informal ways tuelewe frustrations walizo nazo na tuwasaidie pale tunapoweza
Mikoani hutembei mkuu tupate kaziUko wapi mkuu? Unaweza kuja hapa Karibu na China Plaza Kuna kazi ya saidia fundi malipo 15k
Kama unaweza kufika hapa ndani ya lisaa nicheki +255624254690
Mikoani kazi za msimu mkuuMikoani hutembei mkuu tupate kazi
Mkuu kesho ipo hii?Uko wapi mkuu? Unaweza kuja hapa Karibu na China Plaza Kuna kazi ya saidia fundi malipo 15k
Kama unaweza kufika hapa ndani ya lisaa nicheki +255624254690