Natafuta kazi yoyote, nina elimu kidato cha nne

Natafuta kazi yoyote, nina elimu kidato cha nne

Kichwa Chako Cha Habari ktk Uzi Wako Huu KIMENITISHA na Bado KINATISHA Kijana. UPO KWELI na MAKINI Kuwa Unatafuta Kazi Yoyote? UTAWEZA KUVUMILIA Lakini? Kazi ZINGINE ZINACHOSHA Mwanzo Mwisho. Vipi Unaweza KULIMA Shamba Kwa KUINAMA MUDA Mrefu? Nina Shamba Langu Na Natafuta Wa Kuvuna Nae MIHOGO na MAGOGO!

KUINAMA muda mrefu kuvuna MIHOGO na MAGOGO! Mmh! Kiswahili kukielewa ni kaz kweli!!
 
Hata kama umechoka kiuchumi katika dunia ya leo lazima uwe na malengo yako ya nini unachotaka kufanya, hakuna kazi yoyote na hakuna mtu yoyote anaeweza kufanya kazi yoyote
 
Hata kama umechoka kiuchumi katika dunia ya leo lazima uwe na malengo yako ya nini unachotaka kufanya, hakuna kazi yoyote na hakuna mtu yoyote anaeweza kufanya kazi yoyote

Duh!!Hilo nalo neno mkuu,sasa unanisaidiaje mkuu
 
MAKAMPUNI YA ULINZI YAMEJAA TELE MSHAHARA 120~160 tayarisha cheti chako barua za wadhamini 2 walioajiriwa / wanaofanya kazi serikalini GO! ktk kampuni yoyote naamini ukianza process hz mda huu j3 utakuwa kazini goodluck!
 
Akhsante mkuu,nayo ni miongoni mwa kazi/ajira
 
Wapendwa wangu katika bwana,habarini za asubuhi,,,mie nikijana mwenye umri wa miaka 23 natafuta kazi yoyote ile inayoweza kunisaidia kuendesha maisha yangu.Elimu yangu ni kidato cha nne.Ninaomba popote pale ambapo wewe unaweza kuwa na uhakika wa kupata ajira/kazi unisaidie .Naamini kazi zipo ila mpaka uwe na mtu wa kukufikisha eneo la kazi.Akhsante

kwa nini usijaribu kuimba.soko la mziki bado changa sana hvyo lina fursa kubwa sana ya kukua, jana nilikuwa sehemu moja zikawa zinapigwa miziki za diamond tuu. fursa bado ni kubwa sana.
 
kwa nini usijaribu kuimba.soko la mziki bado changa sana hvyo lina fursa kubwa sana ya kukua, jana nilikuwa sehemu moja zikawa zinapigwa miziki za diamond tuu. fursa bado ni kubwa sana.

Hahahaha!!Mkuu wewe ulitaka zipigwe na nyimbo za nani?
 
mmmmmh kama umri haujaenda rudi shule kama umeenda
kazi ya kuuuza duka unaiweza????? elf3 kwa siku chakula kwangu,malazi na mavazi na ukiumwa

kazi ipo mkoani sio DAR kama upo siriaz njoo pm

kuna kazi zingine kama kutengeza bidhaa mbali mbali ambazo utalipwa tofauti njoo pm
 
we mwanamke au mwanaume....nimeuliza kwa nia njema tu
 
mmmmmh kama umri haujaenda rudi shule kama umeenda
kazi ya kuuuza duka unaiweza????? elf3 kwa siku chakula kwangu,malazi na mavazi na ukiumwa

kazi ipo mkoani sio DAR kama upo siriaz njoo pm

kuna kazi zingine kama kutengeza bidhaa mbali mbali ambazo utalipwa tofauti njoo pm

Akhsante mkuu nakuja huko PM sasa hivi
 
Akhsante mkuu nakuja huko PM sasa hivi

mkuuu umenichanganya kidogo mboba kama unatafuta mchumba na si kazi
embu niambie unatafuta mchumba au kazi
 
Attachments

  • 1423311691087.jpg
    1423311691087.jpg
    77.2 KB · Views: 226
  • 1423311705471.jpg
    1423311705471.jpg
    76.5 KB · Views: 204
Back
Top Bottom