T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,116
- 30,549
Wapendwa wangu katika bwana,habarini za asubuhi,,,mie nikijana mwenye umri wa miaka 23 natafuta kazi yoyote ile inayoweza kunisaidia kuendesha maisha yangu.Elimu yangu ni kidato cha nne.Ninaomba popote pale ambapo wewe unaweza kuwa na uhakika wa kupata ajira/kazi unisaidie .Naamini kazi zipo ila mpaka uwe na mtu wa kukufikisha eneo la kazi.Akhsante