Natafuta kazi yoyote, nina elimu kidato cha nne

Huyo achana naye hana shida na kazi mm niko hapa natafuta kazi nipo tu mtaani kazi ambazo naweza kufanya ni kuuza duka la bidhaa hata la vifaa vya ujenzi, kuuza kwenye supermarket, kufanya utafiti kwenye makampuni hizo kazi nina uzoefu nazo

Namba yangu ni 0712202449 nipo dar es salaam, nina miaka 26 ni mwanaume

Acha kusafiria nyota za watu kama hana shida we ndy ulimuwekea huu uzi ??? Nyambaf mkubwa wee unamkandia mwenzako ili we ndy uonekane bora zaidi ama kama Mungu amepanga yeye asaidike hapa atasaidika tu

Acha tibia za kifitini kama Malaya kama watu wenye Roho za korosho 🙂😡😡
 
Dah!!Msamehe bure mkuu japo hata mimi nimemushangaa kuniponda,,,,
Kwema lakini mkuu
 
Huyo achana naye hana shida na kazi mm niko hapa natafuta kazi nipo tu mtaani kazi ambazo naweza kufanya ni kuuza duka la bidhaa hata la vifaa vya ujenzi, kuuza kwenye supermarket, kufanya utafiti kwenye makampuni hizo kazi nina uzoefu nazo

Hiyo hata mmi naweza
 
Habarini za asubuhi wapendwa katika bwana.
Wana Jamii Forum,kweli imeshindikana mimi kupata mtu wa kunipatia kazi au kunitafutia kazi?
 
Dogo bora utafute dem mgegedane tu uondoe stress za kazi halafu kkutwa uwapigie kura chadema labda tukiingia mjengoni mtapata nafuu!
 
Sio ungwana ndugu mtu ana shida ya kweli unamwambia atafte dem agegedane??
Daah ama kweli Alieshiba Hamjui mwenye njaa wala kiu ya Maji!!!
 
Dogo bora utafute dem mgegedane tu uondoe stress za kazi halafu kkutwa uwapigie kura chadema labda tukiingia mjengoni mtapata nafuu!

Dah!!Hata nikitafuta demu wakumgegeda ni sawa nitampata na nitamgegeta ila hawezi kunisaidia chochote mkuu zaidi kurudisha hadhi ya kiume tu.Natafuta kazi tafadhali nisaidie nipate kazi mkuu.
 
Wapendwa wangu katika bwana,habarini za asubuhi,,,mie nikijana mwenye umri wa miaka 23 natafuta kazi yoyote ile inayoweza kunisaidia kuendesha maisha yangu.Elimu yangu ni kidato cha nne.Ninaomba popote pale ambapo wewe unaweza kuwa na uhakika wa kupata ajira/kazi unisaidie .Naamini kazi zipo ila mpaka uwe na mtu wa kukufikisha eneo la kazi.Akhsante

nitafute 0768577654
 
Back
Top Bottom