Natafuta kazi yoyote, nina elimu kidato cha nne

Natafuta kazi yoyote, nina elimu kidato cha nne

Watu wengine sijui mpoje,

Hivi ni dhambi kutafuta demu na kazi kwa wakati mmoja?

Yaani kazi hana,hata demu wa kugegeda pia akose?

Naamini wenye uhitaji watakutafuta kwenye PM!!

Mkuu akhsante sana kwa kuwaelewesha ila wanajua sipo siriazi na kutafuta kazi.Wapendwa nipo natafuta kazi kweli na ninaomba popote popote pale ambapo wewe unaweza kuwa na uhakika wa kupata kazi unisaidie.Najua kazi zipo ila mpaka uwe na mtu wa kukufikisha kwenye eneo la kazi.plz nisaidieni
 
huyu kaka bana

unajua humu ndo maana hata ukikutana na mtu mwenye sshida ni ngum kumsaidia maana wengi wanafanya utani tu

Sitanii masai dada,nipo siriazi na hili ombi langu mkuu japo mmeona kama natania wapendwa.
 
Sitanii masai dada,nipo siriazi na hili ombi langu mkuu japo mmeona kama natania wapendwa.

sasa kama unasema tangazo la mchumba ulikua unazingua je nitakua na uhakika gani hili auzingui???
auseee kuwa MAKINI
 
masai dada msamehe bure huyo dogo na hakujua kuwa watu wengi wanasaidiwa wakiwa hawana utani, ila amekiri kama kuna fursa mpatie dogo.

nimekiri kwa kweli kama nilikosea kuweka nyuzi ya kutafuta kazi na nyuzi ya kutafuta mchumba wakati sina kazi,masai dada nisaidie kama kunauwezekano na hata kuna mwingine ameguswa na ombi langu anisaidie nipate kazi.
 
Last edited by a moderator:
sasa kama unasema tangazo la mchumba ulikua unazingua je nitakua na uhakika gani hili auzingui???
auseee kuwa MAKINI

nipo makini sana na ombi langu la kazi,la mchumba badae sana sasa maana nimekutoa imani kwangu masai dada
 
laiti mngejua nlivocheka leo baada ya kupitia koment hapa...hahaaaaaa
 
laiti mngejua nlivocheka leo baada ya kupitia koment hapa...hahaaaaaa

Usicheke mkuu ila dogo amekiri kufanya kosa hivyo anahitaji msaada kwani kitaa kugumu jamaa usiombe.
 
Huyo achana naye hana shida na kazi mm niko hapa natafuta kazi nipo tu mtaani kazi ambazo naweza kufanya ni kuuza duka la bidhaa hata la vifaa vya ujenzi, kuuza kwenye supermarket, kufanya utafiti kwenye makampuni hizo kazi nina uzoefu nazo
 
Namba yangu ni 0712202449 nipo dar es salaam, nina miaka 26 ni mwanaume
 
watu wengine sijui mpoje,

hivi ni dhambi kutafuta demu na kazi kwa wakati mmoja?

Yaani kazi hana,hata demu wa kugegeda pia akose?

Naamini wenye uhitaji watakutafuta kwenye pm!!

hata mie nawashangaa! Wanafikiri wenye haki ya kugegeda ni wenye kazi tu...wasio na kazi magegedeo yao hayana haki ya kusimama!
 
Huyo achana naye hana shida na kazi mm niko hapa natafuta kazi nipo tu mtaani kazi ambazo naweza kufanya ni kuuza duka la bidhaa hata la vifaa vya ujenzi, kuuza kwenye supermarket, kufanya utafiti kwenye makampuni hizo kazi nina uzoefu nazo

Nina shida na kazi mkuu
 
Utanyanyasika tafuta elfu 40 anza kuuza karanga na kahawa. mtaji unavyokua ongeza mradi wa kuuza mkaa sijajua uko wapi? then anzisha chips then kaduka oh! mara duka la jumla mara kampuni mara bilioner. Ondoa aibu pigana. acha mademu kamsumali kako kakisimama kapindishe.
 
Hahahaha!!Hehehehe!!Nimecheka sana,poa mkuu naweza kufanya hivyo kama ulivyonishauri ila tatizo ni kianzio(mataji)mkuu.
 
Back
Top Bottom