Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,655
- 8,590
Akhsante mkuu nakuja huko PM sasa hivi
Ulete Feed Back Kama Kweli Amekusaidia Kupata Kazi Ili Apongezwe masai dada Kwa Wema Wake
Last edited by a moderator:
Akhsante mkuu nakuja huko PM sasa hivi
mkuuu umenichanganya kidogo mboba kama unatafuta mchumba na si kazi
embu niambie unatafuta mchumba au kazi
Ulete Feed Back Kama Kweli Amekusaidia Kupata Kazi Ili Apongezwe masai dada Kwa Wema Wake
Poa mkuu nitafanya hivyo kama nitafanikiwa kupatiwa kazi na masai dada
Ulete Feed Back Kama Kweli Amekusaidia Kupata Kazi Ili Apongezwe masai dada Kwa Wema Wake
mlipe kima cha chini cha serikali ambacho ni laki 4.
sasa mkuu mbona una post kama 5 unatafuta manzi utaweza kazi kweli maana demu wako utamlisha nini SI UTANIFILISI WEWE
jibu kwanza tuhuma hizo unahitaj demu au kazi Tyta
Natafuta kazi kweli na siyo demu masai dada,hiyo coment ya kufauta demu ilikuwa ni swaga tu mkuu.plz nisaidie na wala sitakufirisi sababu vigezo na masharti nitazingatia.
huyu mkuu ana nyuzi za kutafuta mashori sasa unazani hapo inakuaje
Natafuta kazi kweli na siyo demu masai dada,hiyo coment ya kufauta demu ilikuwa ni swaga tu mkuu.plz nisaidie na wala sitakufirisi sababu vigezo na masharti nitazingatia.
Unakotafuta mchumba una miaka 25 na huku unatafuta kazi una miaka 23 mbona unachanganya.
cc Tyta
masai dada
Masai dada kuwa na imani na mimi kama natafuta kazi kweli,kuhusu hizo nyuzi za kutafuta mashori sikuwa nimekusudua mkuu.plz nisaidie nipate kazi mkuu
Mungu akusamehe bure
Unakotafuta mchumba una miaka 25 na huku unatafuta kazi una miaka 23 mbona unachanganya.
cc Tyta
masai dada
naona mapicha picha tu ANATANIA WAKATI KUNA WATU WANATAFUTA KAZI KWA UKWELI
una uqezo wa kununua kiatu cha elfu 60 utaweza kufanya kazi ya laki 2 kwa mwezi????????au chini ya hapo