beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 726
- 478
- Thread starter
- #21
Habari za asubuhi wakuu, najaribu kuiupdate hii post kwa ambae hajaona aone nahitaji msaada wenu pls
Kodi unadaiwa ya miezi mingapi na ni kiasi gani dada angu?Habari za asubuhi wakuu, najaribu kuiupdate hii post kwa ambae hajaona aone nahitaji msaada wenu pls
Ya miezi 6 mkuu 210 chumba ni 35Kodi unadaiwa ya miezi mingapi na ni kiasi gani dada angu?
Asante kwa kejeli zako ubarikiwe, hongera pia kwa nafasi uliokuwa nayo, Mshukuru Mungu sanaMagufuli Mungu anakuona. Yaani hata waliokua wanatafuta kazi kwenye hotel za nyota tano na kuita restaurant za wayu vibanda/mbavu za mbwa leo wanatafuta kazi kwa mama ntilie. Endelea kukaza, hata wanaotafuta kuhongwa nao wakose soko
Ameen!Mungu akufanyie wepesi.
Kama uko serious wala huna haja ya kutokwa povu, ila wadada wengi waliringa hsa hotel management maana hua wanaamini wao ni wazuriAsante kwa kejeli zako ubarikiwe, hongera pia kwa nafasi uliokuwa nayo, Mshukuru Mungu sana
Sio we tu typo wngi tnadaiwa cod jamanWakuu bado sijapata jamani naombeni mnisaidie kazi hali ngumu nadaiwa kodi
haaaaa kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaaNatafuta wa Kunifulia Nguo Weekend
Kama ivyo basi anzisha uzi wako!How come unasema hivyo? i just said natafuta mtu wa kunifulia na wewe unanisema hivyo as if nimekudharau Pole sana kwa kunielewa hivyo...
Nina mashaka na origin yako au malez yako, anyway asante kwa commentKama uko serious wala huna haja ya kutokwa povu, ila wadada wengi waliringa hsa hotel management maana hua wanaamini wao ni wazuri
Yaani acha tu mkuu, but I can handle themhaaaaa kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa
Thanxall the best
Asante sanaMuhimu usife moyo hata sisi wengine tuna shida kuliko zako. Maisha ni kuvumilia na kutafuta njia halali. Mungu akutangulie, akuepushe na matapeli
Ni pm tafadhali nikupe mahali uende,kama upo dar nikuelekeze mahali,lakini kama unataka hata nje ya dar na Zanzibar niambie!Habari za usiku wapendwa, mimi ni msichana miaka 25 nina cheti cha hotel management na nina uzoefu wa miaka 2 kama waitress nipo dar . Naomba kwa anaeweza kunisaidia kupata kazi maana maisha magumu na wenyenyumba nao wanataka kodi Zao!! .. Nitashukuru sana.
Hebu jaribu mahotel ya Zanzibar (hasa maeneo ya Paje, Bwejuu, Michamvi na Makunduchi. Kiwengwa sipapendi kwa sababu ya umbali. Mungu atakuonyesha njia. NB; Nishawahi kufanya kazi hukoHabari za usiku wapendwa, mimi ni msichana miaka 25 nina cheti cha hotel management na nina uzoefu wa miaka 2 kama waitress nipo dar . Naomba kwa anaeweza kunisaidia kupata kazi maana maisha magumu na wenyenyumba nao wanataka kodi Zao!! .. Nitashukuru sana.