Natafuta kazi ya waitress

Habari za asubuhi wakuu, najaribu kuiupdate hii post kwa ambae hajaona aone nahitaji msaada wenu pls
 
Magufuli Mungu anakuona. Yaani hata waliokua wanatafuta kazi kwenye hotel za nyota tano na kuita restaurant za wayu vibanda/mbavu za mbwa leo wanatafuta kazi kwa mama ntilie. Endelea kukaza, hata wanaotafuta kuhongwa nao wakose soko
 
Asante kwa kejeli zako ubarikiwe, hongera pia kwa nafasi uliokuwa nayo, Mshukuru Mungu sana
 
Muhimu usife moyo hata sisi wengine tuna shida kuliko zako. Maisha ni kuvumilia na kutafuta njia halali. Mungu akutangulie, akuepushe na matapeli
 
Habari za usiku wapendwa, mimi ni msichana miaka 25 nina cheti cha hotel management na nina uzoefu wa miaka 2 kama waitress nipo dar . Naomba kwa anaeweza kunisaidia kupata kazi maana maisha magumu na wenyenyumba nao wanataka kodi Zao!! .. Nitashukuru sana.
Ni pm tafadhali nikupe mahali uende,kama upo dar nikuelekeze mahali,lakini kama unataka hata nje ya dar na Zanzibar niambie!
 
Habari za usiku wapendwa, mimi ni msichana miaka 25 nina cheti cha hotel management na nina uzoefu wa miaka 2 kama waitress nipo dar . Naomba kwa anaeweza kunisaidia kupata kazi maana maisha magumu na wenyenyumba nao wanataka kodi Zao!! .. Nitashukuru sana.
Hebu jaribu mahotel ya Zanzibar (hasa maeneo ya Paje, Bwejuu, Michamvi na Makunduchi. Kiwengwa sipapendi kwa sababu ya umbali. Mungu atakuonyesha njia. NB; Nishawahi kufanya kazi huko
 
Kama upo Serious tufanye hii mishe mi nna laki 5 and I can get another 500k in few weeks tuanzishe mradi wetu kuhusu sehemu ya kukaa kwa sababu kwenye nyumba yupo kisogoni kila dakika unaweza kaa nami for a time
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom