Mussa Lucas
Member
- Jun 12, 2022
- 16
- 25
Naitwa Augustine Lucas, Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 25. Mzaliwa wa Mkoa wa Geita, nimhitimu katika Chuo Cha Bandari Dar Es Salaam, course niliosoma ni Clearing forwarding and port management,
Nina uzoefu katika masuala yote ya Port operations.
Nipo hapa natafuta kazi yoyote katika makampuni ya clearing Forwarding, shipping line, logistics. Nipo tayari kuanza kazi hata Leo hii, kwasasa nipo Dar es Salaam.
Namba yangu ni 0757804843