beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481
- Thread starter
- #61
Yaani mkuu acha mtu akiwa na shibe hawez mjua Mwenye njaaCha msingi km mna roho za kibinaadamu mumsaidie tu sio mpaka aweke picha kwsni yy hatafuti mwanaume
Yaani mkuu acha mtu akiwa na shibe hawez mjua Mwenye njaaCha msingi km mna roho za kibinaadamu mumsaidie tu sio mpaka aweke picha kwsni yy hatafuti mwanaume
Mkuu kuna tofauti kati ya kufanya kazi ya hotel na bar , binafsi Nina shida sana ya kazi lakini sio kuuza bar, No thank u anywayok sand me ua no nikuhunganshe bar ya auncle

Kuna sehem nimeandika kifua sio kazi?kufua pia kazi,mjini usijivunge
ana watoto wawili.. utaweza kuwale au mitamaa tu imekujaa na pepo la ngono?Una hasira sana nili offer kama msaada coz najua hauwezi kutulia tukafanya biznis wakati unasumbuliwa kuhusu kodi ila nisamehe bure
Ata we nakuleaana watoto wawili.. utaweza kuwale au mitamaa tu imekujaa na pepo la ngono?
Go to hell!!Una hasira sana nili offer kama msaada coz najua hauwezi kutulia tukafanya biznis wakati unasumbuliwa kuhusu kodi ila nisamehe bure
Achana nae huyo mkuu hajielewi Hawa ndo wanaozaliwa bahati mbaya na kulelewa makusudiana watoto wawili.. utaweza kuwale au mitamaa tu imekujaa na pepo la ngono?
sawa James DeliciousAta we nakulea
Ahahahaa wajomba mna hasira hahaahaa basi banasawa James Delicious
ha ha ha hamna .. tunazingua tu hapa .. life kitaa noma .. ila ww kama una uwezo wa kumsaidia dada msaidieAhahahaa wajomba mna hasira hahaahaa basi bana
Mkuu sijui kutuma Picha pmKm uko tayari kufanyia kazi mkoa wowote.... nitumie picha na details pm
Myajenge tuu huko pm everything is possibleKama upo Serious tufanye hii mishe mi nna laki 5 and I can get another 500k in few weeks tuanzishe mradi wetu kuhusu sehemu ya kukaa kwa sababu kwenye nyumba yupo kisogoni kila dakika unaweza kaa nami for a time
He's an idiot he thinks all women are equal, amenikeraMyajenge tuu huko pm everything is possible
I'm serious lakini inaonesha huna imani

Sorry n sehem gan mana na m nahtaj chumba cha namna hyo cha 50 chenye tiles nemvtiwa na hyo sehem sorry lakn npo nje ya mada..Iko cheap coz room pia ni ndogo kama una vitu vingi napokaa, chumba ni 50 , Nyumba nzuri