Natafuta kazi

smart fog

Member
Jul 19, 2020
42
18
kwa majina naitwa hassani hashimu chukachuka ni kijana mwenye umri wa miaka 24.
Nina elimu ya ngazi ya juu yaani chuo kikuu kwa shahada ya usimamizi wa rasilimali watu ( human resource management ).
nina uzoefu wa kazi, nimefanya kazi za kujitolea katika shirika linaloitwa BAK-AIDs, pia nmefanya kazi za uhifadhi na shirika linaloitwa NALIKA WMA(wildlife management area).
naomba yeyote atayeguswa na ombi langu hasisite kunisaidia, mimi ni kijana muaminifu na mtiifu sana.
kwa mawasiliano zaidi 0758978546
 
MUNGU akujalieee mkuuu upatee hyo kazii ikusitiri popote ulipo ,njaa isije ikakuzidi uka left group
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom