beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481
- Thread starter
- #41
Nimeshakupm mkuuNi pm tafadhali nikupe mahali uende,kama upo dar nikuelekeze mahali,lakini kama unataka hata nje ya dar na Zanzibar niambie!
Nimeshakupm mkuuNi pm tafadhali nikupe mahali uende,kama upo dar nikuelekeze mahali,lakini kama unataka hata nje ya dar na Zanzibar niambie!
Mkuu sipajui hukoHebu jaribu mahotel ya Zanzibar (hasa maeneo ya Paje, Bwejuu, Michamvi na Makunduchi. Kiwengwa sipapendi kwa sababu ya umbali. Mungu atakuonyesha njia. NB; Nishawahi kufanya kazi huko
U can't be serious!! Yaani watu kama nyie sijui mna malez ya namna gani,Kama upo Serious tufanye hii mishe mi nna laki 5 and I can get another 500k in few weeks tuanzishe mradi wetu kuhusu sehemu ya kukaa kwa sababu kwenye nyumba yupo kisogoni kila dakika unaweza kaa nami for a time
Ukidhamilia utapajua tuMkuu sipajui huko
I'm serious lakini inaonesha huna imaniU can't be serious!! Yaani watu kama nyie sijui mna malez ya namna gani,
Vipi umefanikiwa kupata kazi beautiful onyinye?U can't be serious!! Yaani watu kama nyie sijui mna malez ya namna gani,
Bado sijapata mkuuVipi umefanikiwa kupata kazi beautiful onyinye?
Kwani umeona sehemu mm nimetangaza natafuta mtu wa kuishi nae. Si uende love connect huko jukwaa husika,I'm serious lakini inaonesha huna imani
Sory. Mi naitaj kujua tu unapoishi nimevutiwa na hyo kodi.. Nataffa room so kam hutojal waeza nmbi u wapi... Samhn kwa kuingilia mada tofauti.. Mungu awe nawe"!Ya miezi 6 mkuu 210 chumba ni 35
Una hasira sana nili offer kama msaada coz najua hauwezi kutulia tukafanya biznis wakati unasumbuliwa kuhusu kodi ila nisamehe bureKwani umeona sehemu mm nimetangaza natafuta mtu wa kuishi nae. Si uende love connect huko jukwaa husika,
Kodi ikoje kwani hiyo?Sory. Mi naitaj kujua tu unapoishi nimevutiwa na hyo kodi.. Nataffa room so kam hutojal waeza nmbi u wapi... Samhn kwa kuingilia mada tofauti.. Mungu awe nawe"!
Mkuu njoo pm lkn huwez amini Nyumba ni nzuri pia ina tiles , maji lkn nahis unaona kodi ni ndogo coz room nayenyewe ni ndogo pia , kitanda, kiti, tv, na kabati labda .. Cha kibachela zaidiSory. Mi naitaj kujua tu unapoishi nimevutiwa na hyo kodi.. Nataffa room so kam hutojal waeza nmbi u wapi... Samhn kwa kuingilia mada tofauti.. Mungu awe nawe"!
Nimeona iko cheap dat y nimependa kujua upo maeneo gani.. Ili kama upo eneo ambalo ntaitj nije kukaa unifanyie mpngo hapo unaoish nipte room au hata eneo jirani.. Samahan lakin kwa usumbufu my!!Kodi ikoje kwani hiyo?
Mambo dd,polesana.sasa nakushsuri uandae CV ZAKO NA TOA copy vyeti vysko vya hotel hafu peleks pale NEW AFRICS HOTEL.PALE HUWA WSNA TATIZO LA SHORTAGE ZA WAFANYAKAZI,HIVYO PELEKA PALE NA KM UKIWEZA OMBA UKAMWONE HUMAN RESOURSES WA PALE.MM NLISHAFANYAKAZI PALE NA NLIMWCHA MR LOTUNO ILA NAHIS ATAKUWA KASHA RETIRE.HAFU UTATULETEA MREJESHI.NA WE UKIWA PALE UOMBE NAFASI YOYOTE SI LAXIMA RESTAURANT TU.MUNGU AKUPIGANIE UPATEHabari za usiku wapendwa, mimi ni msichana miaka 25 nina cheti cha hotel management na nina uzoefu wa miaka 2 kama waitress nipo dar . Naomba kwa anaeweza kunisaidia kupata kazi maana maisha magumu na wenyenyumba nao wanataka kodi Zao!! .. Nitashukuru sana.
Good good ideaTAFUTA BANDA TUFUNGUE MGAHAWA CHIPSI YAI KUKU N.K KAMA UKO SERIOUS...UTAAJIRIWA UTALIPWA 200000 KWA MWEZI...ILA UKITAFUTA MBIA...WEWE UKATOA UJUZI NA MUDA YEYE AKATOA MTAJI MWISHO WA SIKU MNAGAWANA FAIDA NUSU KWA NUSU INAPENDEZA KULIKO KUAJIRIWA NA KULIPWA KWA MWEZI....
Iko cheap coz room pia ni ndogo kama una vitu vingi napokaa, chumba ni 50 , Nyumba nzuriNimeona iko cheap dat y nimependa kujua upo maeneo gani.. Ili kama upo eneo ambalo ntaitj nije kukaa unifanyie mpngo hapo unaoish nipte room au hata eneo jirani.. Samahan lakin kwa usumbufu my!!
kufua pia kazi,mjini usijivungeAsante sana sema Mwenye shibe hamjui Mwenye njaa. Hongera sana
Mkuu nashukuru sana Kwa ushauri lakini mahotel yenye nyota tano sanasana kuingia mule mpaka uwe na refa halafu wana vigezo vingi sana kama hujafanya field kwenye hotel ya 5 star huwez pata kazi kwenye hotel kama new Africa otherwise umeunganishwaMambo dd,polesana.sasa nakushsuri uandae CV ZAKO NA TOA copy vyeti vysko vya hotel hafu peleks pale NEW AFRICS HOTEL.PALE HUWA WSNA TATIZO LA SHORTAGE ZA WAFANYAKAZI,HIVYO PELEKA PALE NA KM UKIWEZA OMBA UKAMWONE HUMAN RESOURSES WA PALE.MM NLISHAFANYAKAZI PALE NA NLIMWCHA MR LOTUNO ILA NAHIS ATAKUWA KASHA RETIRE.HAFU UTATULETEA MREJESHI.NA WE UKIWA PALE UOMBE NAFASI YOYOTE SI LAXIMA RESTAURANT TU.MUNGU AKUPIGANIE UPATE