beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481
- Thread starter
- #81
Asante mkuuPole mkuu utapata mtangulize Mungu
Asante mkuuPole mkuu utapata mtangulize Mungu
Asante mkuu ila Kazi zimekuwa ngumu sana kupatakazi zimekuwa ngumu ila ni kupambana tu mkuu,nikisikia tutapeana taarifa.
Uoga wako ndio umaskini wako, unaonekana muoga sana wa kujaribu.Mkuu sipajui huko
Punguza uoga hutafanikiwa haki yananiMkuu nashukuru sana Kwa ushauri lakini mahotel yenye nyota tano sanasana kuingia mule mpaka uwe na refa halafu wana vigezo vingi sana kama hujafanya field kwenye hotel ya 5 star huwez pata kazi kwenye hotel kama new Africa otherwise umeunganishwa
How come unasema hivyo? i just said natafuta mtu wa kunifulia na wewe unanisema hivyo as if nimekudharau Pole sana kwa kunielewa hivyo...
Mkuu nina uhakika na nilichokisema maana hata new Africa, holiday Inn , Golden Tulip na nyingine kama hizo nimepita so Nina uhakika na ninachokisemaPunguza uoga hutafanikiwa haki yanani
Kusema sipajui ndo uogaUoga wako ndio umaskini wako, unaonekana muoga sana wa kujaribu.
Mkuu watu watu kama Hawa kwenye Jamii hawakosekanagiUtaku
Utakuwa chizi sababu mtu kasema waitress, ww unasema kufua nguo weekend huoni kama ulisoma kwa mkopo basi unatakiwa ukatwe 79% kurudisha pesa zetu za kodi ss wananchi ?
Tatizo la binadamu ndio hili. Amekushauri mazingira anayoyajua wewe unaanza kuweka vikwazo kwani ukijaribu utaumia wapi? Yani kwa style hii hata ukisali ngumu kufanikiwa maana imani haipo.Mkuu nashukuru sana Kwa ushauri lakini mahotel yenye nyota tano sanasana kuingia mule mpaka uwe na refa halafu wana vigezo vingi sana kama hujafanya field kwenye hotel ya 5 star huwez pata kazi kwenye hotel kama new Africa otherwise umeunganishwa
Njoo TARIME kuna jamaa anahitaji wahudumuNaitwa Mariam kaluta
Mkuu nahis kuna mwingine nimemjibu kujaribu nishajaribu tena zaidi ya hiyo new Africa , holiday Inn Golden tulip , na zingine kama hizo so naongea kitu ambacho nimeexperience, tena kuna sehemu unaenda manager anakuuliza umeletwa na nani .Tatizo la binadamu ndio hili. Amekushauri mazingira anayoyajua wewe unaanza kuweka vikwazo kwani ukijaribu utaumia wapi? Yani kwa style hii hata ukisali ngumu kufanikiwa maana imani haipo.
Wazo Zuri, asanteUkiona umechoka kaombe trainee tena 5 or 4 star itakusaidia kuliko kukaa idle
Wapi mkuu niko tayariKazi ipo mshahara hauzidi laki mbili
Ndio naweza mkuuUnaweza kufanya counter?