beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 479
Habari za usiku wapendwa, mimi ni msichana miaka 25 nina cheti cha hotel management na nina uzoefu wa miaka 2 kama waitress nipo dar . Naomba kwa anaeweza kunisaidia kupata kazi maana maisha magumu na wenyenyumba nao wanataka kodi Zao!! .. Nitashukuru sana.