Natafuta kazi, mimi ni mpishi ninayeweza kupika vyakula aina lukuki

Isma le ibuh

Member
Oct 4, 2017
36
12
Naitwa Hussein Suleman ni kijana mwenye umri wa miaka 23, nina taaluma ya upishi najua kupika vyakula kama Wali, pilau, biriani, mandi, ugali, makange, chips, makande, ndizi rost pia za nazi

Pia nina ujuzi wa kuandaaa michuzi pamoja na roast za aina yeyote ile ya mboga kana vile roast samaki, kuku, ngombe, mbuzi

Pia nina ujuzi wa kutengeneza bites aina tofauti tofauti kama chapati, maandazi, vitumbua, sambusa, eegychop, kababu, pizza, burger, cat

Hivyo, mimi ni mpishi wa kila aina ya chakula nina uwezo wa kuandaa vyakula vyote hivyo na vingine sijaviainisha natafuta kazi ya upishi katika kampuni mgahawa au mtu binafsi

Namba 0692014483. 0767959073 napatikana Tabata Misewe

Wako katika utiifu
 
Napika bites aina zote pia vyakula aina zote kama vile wali, pilau, biryani, makange, foil n.k pia naweza kupika bites nzuri chapati laini na zisizo na mafuta mengi napatikana Mabibo Dar es salaam.

Pia, napika kwa oda kama una shughuli au unahitaji mpishi nakuja nakupikia

Mawsiliano yangu 0752104948

Sent using Jamii Forums mobile app
nitumie ujumbe pm

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 
Naitwa Hussein Suleman ni kijana mwenye umri wa miaka 23, nina taaluma ya upishi najua kupika vyakula kama Wali, pilau, biriani, mandi, ugali, makange, chips, makande, ndizi rost pia za nazi

Pia nina ujuzi wa kuandaaa michuzi pamoja na roast za aina yeyote ile ya mboga kana vile roast samaki, kuku, ngombe, mbuzi

Pia nina ujuzi wa kutengeneza bites aina tofauti tofauti kama chapati, maandazi, vitumbua, sambusa, eegychop, kababu, pizza, burger, cat

Hivyo, mimi ni mpishi wa kila aina ya chakula nina uwezo wa kuandaa vyakula vyote hivyo na vingine sijaviainisha natafuta kazi ya upishi katika kampuni mgahawa au mtu binafsi

Namba 0692014483. 0767959073 napatikana Tabata Misewe

Wako katika utiifu
Kwa ujuzi huu, unatakiwa ujiajiri mwenyewe....sio kulialia kutafuta kazi..
 
Back
Top Bottom