Hafidhibrahim
Senior Member
- Nov 4, 2014
- 142
- 32
Habar ndg, za mapumziko!, Napenda chukua fursa
hii kuwaomba ndg jamaa rafik pia, mimi ni dereva
nmekuja kwenu najua kuwa naweza pata msaada.
Kama kuna mtu anaweza nikabidh gar nikamletea
hesabu suzuk(kirikuu) au townace au noah na
ata km gar ya nyumban kumuendesha tajir au
kaz za kupelekea watt shule np tayar np dar
mawacliano 0713844841 ahsante