Mimi ni dereva, natafuta kazi

Mimi ni dereva, natafuta kazi

Hafidhibrahim

Senior Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
142
Reaction score
32
Habari ndugu za mapumziko,

Napenda chukua fursa hii kuwaomba ndugu, jamaa, rafiki pia. Mimi ni dereva, nimekuja kwenu najua kuwa naweza pata msaada.

Kama kuna mtu anaweza nikabidhi gari nikamletea hesabu suzuki (Kirikuu) au Townace au Noah na hata kama gari ya nyumbani kumuendesha tajiri au kazi za kupelekea watoto shule nipo tayari.

Nipo Dar,
Mawasiliano: 0713844841
Ahsante..
 
kazi za nyumbani mshahara unataka ngapi?

kirukuu kawaida mnapeleka ngapi kwa tajiri?
 
kirikuu hesabu f20 kila cku kaz nyumban maelewano kk ya ww utanilipa vp kk
 
kirikuu hesabu f20 kila cku kaz nyumban maelewano kk ya ww utanilipa vp per day au mwez kk
 
Back
Top Bottom