Natafuta kazi ya udereva

Natafuta kazi ya udereva

rabson john

Member
Joined
Jan 22, 2020
Posts
27
Reaction score
10
Habarini Wakuu

Naitwa RABSON JOHN
naishi DAR ER SALAAM MABIBO
NINA MIAKA 25

Mimi ni kijana ambae nimemaliza kozi ya Udereva
PIA nina uzoefu wa SALEES & MARKETING nimewahi Fanya kazi na MAKAMPUNI MENGI HAPA DAR ER SALAAM
NINA LESENI YA UDEREVA YENYE MADARAJA HAYA.

A.A2.B.C1.C2.C3.D.E PIA NAPENDA KUWAOMBA KAZI YA UDEREVA KUMUENDESHA MTU BINAFSI AU MAGARI YOYOTE YA KAMPUNI NITA FANYA KAZI KWA USAHIHI MAANA UDEREVA UPO NDANI YA MOYO WANGU.

Mawasiliano yangu ni 0622324599

au kazi yoyote itakayo patikana nitaifanya kwa moyo mmoja
 
Habirini Wakuu

Naitwa RABSON JOHN
naishi DAR ER SALAAM MABIBO
NINA MIAKA 25

Mimi ni kijana ambae nimemaliza kozi ya Udereva
PIA nina uzoefu wa SALEES & MARKETING nimewahi Fanya kazi na MAKAMPUNI MENGI HAPA DAR ER SALAAM
NINA LESENI YA UDEREVA YENYE MADARAJA HAYA.

A.A2.B.C1.C2.C3.D.E PIA NAPENDA KUWAOMBA KAZI YA UDEREVA KUMUENDESHA MTU BINAFSI AU MAGARI YOYOTE YA KAMPUNI NITA FANYA KAZI KWA USAHIHI MAANA UDEREVA UPO NDANI YA MOYO WANGU.

Mawasiliano yangu ni 0683028855
kampuni ya mexon energy inahitaji madereva wa magari makubwa na madogo. Maombi mwisho tarehe 24.1.2020.tuma kwa mexon energy slp 506. Njombe
 
pls toa email yao ili aweze kutumia njia hii ambayo ni rahisi na ya haraka.
 
omba TANAPA ila kama una sifa zingine kama kupitia JKT, na una cheti cha mafunzo uaskari wanyamapori
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom