Natafuta kazi ya udereva

Isaak

Member
Oct 16, 2020
8
2
Husika na kichwa cha habari hapo juu,heshima zenu wote poleni na majukumu ya hapa na pale.

Natafuta gari hesabu /mkataba Uber/Bolt/Ping/ hata kumuendesha mtu binafsi /kampuni napatikana Dar es Salaam vigezo vyote ninavyo pamoja na vyeti vya ufundi.

Nitashukuru kama nitasaidiwa 0716-326162

Asanteni ya kila la kheri.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom