Natafuta kazi ya udereva. Nina uzoefu kusafiri masafa marefu zaidi ya miaka mitano
Joined
Aug 1, 2025
Posts
1
Reaction score
1
Ndgu wapendwa
Ninaombi kwenu la kazi ya udereva katika kampuni,mtu binafsi, taasisi.

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka (05) katika kazi ya udereva, nikiwa na leseni daraja [A, B, C1, na D], na ujuzi mzuri wa kuendesha magari aina mbalimbali pamoja uzoefu wa kusafiri masafa malefu katika mikoa mingi ndani ya Tanzania bila record yoyote ya ajali na kufuata sheria zote za usalama barabarani

Nina nidhamu, uaminifu na uwezo wa kufanya kazi Niko tayari kwa mahojiano au majaribio wakati wowote nitakapo hitajika ndani ya Tanzania.

Niko Dar Kinondoni.
 
Back
Top Bottom