Natafuta kazi ya ualimu masomo ya Kiswahili na Literature

Natafuta kazi ya ualimu masomo ya Kiswahili na Literature

Mungu akujalie hitaji la moyo wako vip ujajaribu shule za private.
 
anzia hapo hapo adult IAE.Nenda kwenye shule physically humu huwezi kupata kazi bro.Nenda shule Kwa shule pia usijifunge kuomba secondary tu nenda shule za English medium katafute kazi huko maana shule nyingi za sekondari private wanajitafuta costs za uendeshaj ni kubwa wanafunzi wachache mshahara kiduchu full kuzungushwa tu.Kazi inatafutwa kwa kwenda physically kwenye eneo husika siyo Mitandaoni na huko ajira Leo.
 
Back
Top Bottom