Natafuta kazi ya sheli

Mt Meru niliskia wanaajiri. Ofisi zao zipo Tabata mwananchi kuna petro station yao.. muone mtu anaitwa Ally.

Mungu akutangulie ufanikiwe
 
amekwambia SHELL wewe unamwambia MT. Meru huoni kama unampotosha mwombaji? yeye kasema anapenda kufanya kazi au ana uzoefu na vituo vya SHELL. muwe mnaelewa kinachoandikwa siyo mnajibu mambo ambayo hamkuulizwa.

amekwambia SHELL wewe unamwambia MT. Meu huoni kama unampotosha mwombaji? yeye kasema anapenda kufanya kazi au ana uzoefu na vituo vya SHELL. muwe mnaelewa kinachoandikwa siyo mnajibu mambo ambayo hamkuulizwa.
Mt meru wanavituo vingi vya mafuta au? isipo kua vingi wameamshia zambia na Malawi
 
Mi mschana wa miaka 24 niko dar
Sasa dada kwani kampuni ya SHELL, bado ipo kweli Tz, hii au ulimanisha ktk kituo cha kuwekea mafuta kwenye magari?? Daaaa, ila huo ni ugonjwa wa taifa, hadi jiwe mwenyewe huwa anasema "masheli yote ambayo hayatatumia mashine za EFD,, nitayafunga"
 
amekwambia SHELL wewe unamwambia MT. Meru huoni kama unampotosha mwombaji? yeye kasema anapenda kufanya kazi au ana uzoefu na vituo vya SHELL. muwe mnaelewa kinachoandikwa siyo mnajibu mambo ambayo hamkuulizwa.
Kiduku Lilo: tulia. Mt. Meru wana visima vya mafuta, almaarufu sheli.
 
amekwambia SHELL wewe unamwambia MT. Meru huoni kama unampotosha mwombaji? yeye kasema anapenda kufanya kazi au ana uzoefu na vituo vya SHELL. muwe mnaelewa kinachoandikwa siyo mnajibu mambo ambayo hamkuulizwa.
Umekurupuka mkuu. Mt Meru ni wauzaji wa mafuta na wana 'sheli' nyingi sana.

Bravo kwa jamaa, katoa msaada mzuri sana
 
We ni kilaza wa Kiwango cha kimataifa. Halafu huna akili ingawa unaamini unazo ndo tatizo lipo hapo. Hata huelewi na hujui kuwa huelewi.

Nyie sijui mlizaliwaje katika dunia hii...na nashangaa bado mnaendelea kuwepo kuchafua tu hali ya hewa na mazingira. Unasema Mt Meru wana Shell nyingi? We ni lipumbavuh la mwisho. Hujui Shell ni kampuni ya mafuta ambayo kwa sasa haipo. Yaani ulivyo lijinga ni sawa na kusema puma wana total nyingi. Mimi ngekukana kama nakufaham..siwez fahamiana na kilaza kama wewe.

Kubishana na machoko huwa siwezi.

Sawa heri yako wewe usiye kilaza na mwenye akili nyingi.

Usiku mwema
 
Hujui wewe... Ungenyamaza. Shell siku hizi haipo tanzania. Kama Agip ambayo nayo haipo.
Kama baba, mama, kaka au Mwalimu wako hakukufundisha neno almaarufu, basi ugua pole.

Acha mhemko, hii sio punyeto, tulia usome nilichoandika.

Hata kama shell haipo, chukua mantiki ya neno. Na kwa sababu unajua zaidi, hebu tuambie aliyenunua shell baada wa wao kuondoka alikua nani? Tunakuruhusu uangalia google.
 
Kubishana na machoko huwa siwezi.

Sawa heri yako wewe usiye kilaza na mwenye akili nyingi.

Usiku mwema
Usikute unabishana na Mtoto aliyetoka kunyonya juzi. Kwa akili yako huyu anaweza akawa zaidi ya miaka 16?

Mtoto kazaliwa anaagalia sinema za kwenye cd, akajua anajua dunia nzima, utamweza?

Bundle lenyewe mpaka baba aje.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom