una POINT mkubwa lakini Point yako ulitakiwa uielezeamekwambia SHELL wewe unamwambia MT. Meru huoni kama unampotosha mwombaji? yeye kasema anapenda kufanya kazi au ana uzoefu na vituo vya SHELL. muwe mnaelewa kinachoandikwa siyo mnajibu mambo ambayo hamkuulizwa.
Sawa ww mwenyedigiri unaejua makubwa ikiwa hujui kesho yako ukiwa utakufa leo .cjui mtoa roho atathamini kidigri chaako mbuzi ww.achazarauTatizo kubwa sana la jamiiforums ya sasa ni ninyi form four vilaza. Hamjui hata mambo madogo tu.shell ni kampuni ya kuuza mafuta wewe mtu mzima unasema mt meru wana shell nyingi. Sishangai kwa nini mnachora zombie kwenye mitihani yenu.kizazi hiki hamna akili kabisa.ndo mnakuja kujaza server za humu ndani kipindi hiki mnasubiria div zeros zenu
YEye kasema Shell.Mt Meru niliskia wanaajiri. Ofisi zao zipo Tabata mwananchi kuna petro station yao.. muone mtu anaitwa Ally.
Mungu akutangulie ufanikiwe
Acha upotoshaji.una POINT mkubwa lakini Point yako ulitakiwa uieleze
kiungwana TU jambo dogo hili umetumia jazba kuelezea
mwisho inakua ugomvi.
MTOA MADA ndie mwenye kosa
na kwasababu bongo tunaishi kwa mazoea basi
ndio maana umeona watu wanajibu AGIP mara MT
ILA KIUFUPI huyu mtoa mada anacho maanisha
anataka kazi katika kituo cha uuzaji mafuta .
okAcha upotoshaji.
Usijione una akili nyingi sana
Kwel kabxaWabongo kwa ujuaji,kama hujui ndo unapotezwa zaidi!! Mazoea ndo yanalazimishwa yawe ndo sahihi! Wote mko sahihi mazee mpeni ramani binti anatafuta kazi.
Mt.meru wanauza na mafuta piaamekwambia SHELL wewe unamwambia MT. Meru huoni kama unampotosha mwombaji? yeye kasema anapenda kufanya kazi au ana uzoefu na vituo vya SHELL. muwe mnaelewa kinachoandikwa siyo mnajibu mambo ambayo hamkuulizwa.
We ni kilaza wa Kiwango cha kimataifa. Halafu huna akili ingawa unaamini unazo ndo tatizo lipo hapo. Hata huelewi na hujui kuwa huelewi.
Nyie sijui mlizaliwaje katika dunia hii...na nashangaa bado mnaendelea kuwepo kuchafua tu hali ya hewa na mazingira. Unasema Mt Meru wana Shell nyingi? We ni lipumbavuh la mwisho. Hujui Shell ni kampuni ya mafuta ambayo kwa sasa haipo. Yaani ulivyo lijinga ni sawa na kusema puma wana total nyingi. Mimi ngekukana kama nakufaham..siwez fahamiana na kilaza kama wewe.