Ndiyo amepataVipi ulifanikiwa kupataa kazi?
Oooh bas hongeraa yake.Ndiyo amepata
Na Mimi natafuta kazi yoyote bibi, iwe ya kulima, bodi gadi wako au yoyote uliyo nayo. Sichagui kazi.Oooh bas hongeraa yake.
Oooh kiukweli mie sina uhitaji wa mfanya kazi, maana mie mwenyewe natafuta kazi.Na Mimi natafuta kazi yoyote bibi, iwe ya kulima, bodi gadi wako au yoyote uliyo nayo. Sichagui kazi.
Nategemea majibu mazuri kutoka kwako.