Natafuta kazi, nipo Mwanza

josephdeo

Member
Nov 23, 2015
95
196
Jina; Joseph .D. Migini
Umri; 25
Elimu; kidato cha nne
Natafuta kibarua chochote mahali nilipo MWANZA.

Mawasiliano:- +255766604683 kwa meseji, simu au WhatsApp.
Email; josephdeogratius70@gmail.com

UZOEFU
Duka nguo miaka minne, utozaji wa ushuru jiji miezi sita, kiwanda cha kutengenezea biskuti miezi mitatu na duka la mahitaji ya nyumbani miaka mitatu, kusimamia play station (ps) na kusimamia library.

SIFA ZA ZIADA
Muandishi wa vitabu, riwaya na makala, mtengeneza maudhui ya mtandaoni, kidogo naweza kutumia CANVA na pia matumizi ya awali ya kompyuta. Asanteni..
 
Back
Top Bottom