Bryson Jr
Member
- Sep 24, 2023
- 15
- 29
Ni Kijana Smart
Umri wangu miaka 24
Naishi Dar Kimara
Elimu yangu ni Bachelor Degree ya linguistics (English & Kiswahili)
Pia ujuzi wa Welding ninao mzuri
Nina uwezo wa kufanya kazi nyingine nyingine halali kama zipo
Kwa sasa sina mishe yoyote natafuta mishe kama ipo nitashukuru waungwana[emoji120]