Issuna
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,168
- 7,513
Unamaanisha nini mkuu
CODE ngumu sana mkuu??
Unamaanisha nini mkuu
Nimeona lakini wanataka watu wa certificate na diplonaCheki TAA wametangaza ajira za fani yako Omba kupitia PSRS.
We tuma tu, jaribu bahatiNimeona lakini wanataka watu wa certificate na diplona
Ipo Jirani Na Mzumbe University Maeneo Ya ForestKuna radio mpya imefunguliwa mbeya hapa inaitwa access fm vipi umejaribu kuwacheki ujaribu bahati yako...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo umemsaidia nini hapo?Qa
Note: Muwe mnauliza Course ya kusoma Masters b4 hujasoma.
Haya ndio matatizo Best yaliyokukumba na yatakayowakumba wengine..
In fact ulipaswa kusoma nyakati kwa kuangalia labour market imeBase upande gani!
Juzi chuon hapa nawaona wengi wanasoma Course za kipuuzi
Eti.
Masters in Sociology, disaster mgmnt, horticulture, political science, mass com,journalism,secretary,Public relation.
Baada ya muda wanaanzisha thread za kuomba Ajira..
Shwainnn ila Samahan Dada yangu ila huo ndio ukweli..
Labour market huwa inabadilika over a time. Huenda wakati anasoma hyo program soko la ajira lilikuwepo. So acha kejeli kama huna cha kumshauri better ungepiga kimya.Qa
Note: Muwe mnauliza Course ya kusoma Masters b4 hujasoma.
Haya ndio matatizo Best yaliyokukumba na yatakayowakumba wengine..
In fact ulipaswa kusoma nyakati kwa kuangalia labour market imeBase upande gani!
Juzi chuon hapa nawaona wengi wanasoma Course za kipuuzi
Eti.
Masters in Sociology, disaster mgmnt, horticulture, political science, mass com,journalism,secretary,Public relation.
Baada ya muda wanaanzisha thread za kuomba Ajira..
Shwainnn ila Samahan Dada yangu ila huo ndio ukweli..
Mbona hivyo mkuu!wote tungesoma corse kama yako bado tungeomba pia ajira kama tunavyo fanya sasa.wakati mwingine hekima ni muhimuQa
Note: Muwe mnauliza Course ya kusoma Masters b4 hujasoma.
Haya ndio matatizo Best yaliyokukumba na yatakayowakumba wengine..
In fact ulipaswa kusoma nyakati kwa kuangalia labour market imeBase upande gani!
Juzi chuon hapa nawaona wengi wanasoma Course za kipuuzi
Eti.
Masters in Sociology, disaster mgmnt, horticulture, political science, mass com,journalism,secretary,Public relation.
Baada ya muda wanaanzisha thread za kuomba Ajira..
Shwainnn ila Samahan Dada yangu ila huo ndio ukweli..
Safari ya mafanikio lazima ukutane na kejeli kama hiziLabour market huwa inabadilika over a time. Huenda wakati anasoma hyo program soko la ajira lilikuwepo. So acha kejeli kama huna cha kumshauri better ungepiga kimya.
Qa
Note: Muwe mnauliza Course ya kusoma Masters b4 hujasoma.
Haya ndio matatizo Best yaliyokukumba na yatakayowakumba wengine..
In fact ulipaswa kusoma nyakati kwa kuangalia labour market imeBase upande gani!
Juzi chuon hapa nawaona wengi wanasoma Course za kipuuzi
Eti.
Masters in Sociology, disaster mgmnt, horticulture, political science, mass com,journalism,secretary,Public relation.
Baada ya muda wanaanzisha thread za kuomba Ajira..
Shwainnn ila Samahan Dada yangu ila huo ndio ukweli..
Hizi umetaja ni course very potential. Hata hii aliyosomea bi dada ni nzuri sana......Qa
Note: Muwe mnauliza Course ya kusoma Masters b4 hujasoma.
Haya ndio matatizo Best yaliyokukumba na yatakayowakumba wengine..
In fact ulipaswa kusoma nyakati kwa kuangalia labour market imeBase upande gani!
Juzi chuon hapa nawaona wengi wanasoma Course za kipuuzi
Eti.
Masters in Sociology, disaster mgmnt, horticulture, political science, mass com,journalism,secretary,Public relation.
Baada ya muda wanaanzisha thread za kuomba Ajira..
Shwainnn ila Samahan Dada yangu ila huo ndio ukweli..
Nashukuru kwa ushauriHuu unaitwa UKWELI MCHUNGU na anayepewa anapashwa Kuukubali na Kuuvumilia vile vile.
Ngoja tuzidi pambana mkuu hata hivyo asante kwa andiko lakoHizi umetaja ni course very potential. Hata hii aliyosomea bi dada ni nzuri sana......
Kwa sasa hali ya uchumi imekaza so kampuni nyingi zinafungwa na kushindwa kuoperate kutokana na mzunguko wa pesa kwa wateja na wadau kupungua.....
But MUNGU akijalia huu uchumi ukafufuka tena basi hao uliowataja watahitajika kwa kasi sana na hawatakaa mtaani.
Wakala wa ajira wanaitwa Taesa ndio wako pale mkabala na DITMtoto mzuri pakia CV yako PSRS kwenye ile AJIRA PORTAL na wapelekee CV zako wale wakala wa ajira TAET nadhani walikuwa pale mkabala na DIT kisha endelea kufight ajira za MARKETS zipo nyingi...njoo PM nikupe namba za mshua fulani pia ujaribu.
Hivi hawa jamaa wana kazi gani zaidiWakala wa ajira wanaitwa Taesa ndio wako pale mkabala na DIT
Kazi ambayo ninaifaham Mimi ni kwamba huwa wanapelekewa nafasi za kazi na taasisi na kampuni mbalimbali halafu wanafanya comparison na CV za watu walizonazo halaf wenye CV zinazoendana na matakwa ya taasisi husika wataitwa kwa ajili ya kufanya usahili.Hivi hawa jamaa wana kazi gani zaidi
Ko wanapokea CV jamaa.Kazi ambayo ninaifaham Mimi ni kwamba huwa wanapelekewa nafasi za kazi na taasisi na kampuni mbalimbali halafu wanafanya comparison na CV za watu walizonazo halaf wenye CV zinazoendana na matakwa ya taasisi husika wataitwa kwa ajili ya kufanya usahili.
Asante kwa kurekebisha nilikuwa nadhania tu.Wakala wa ajira wanaitwa Taesa ndio wako pale mkabala na DIT
Ndiyo wanapokea cv,nenda na CV,vyeti original na copies ili wakusajili.Ko wanapokea CV jamaa.