mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 7,658
- 9,762
Ndio hvyo mkuu.Asante kwa kurekebisha nilikuwa nadhania tu.
Kuna rafiki yangu mmoja alipata kazi bandari mwaka juzi kupitia hawa jamaa
Ndio hvyo mkuu.Asante kwa kurekebisha nilikuwa nadhania tu.
Asante mkuu
Duh nakuonea huruma kumbe toka jk.. Acha woga jiajiri mwenyewe usiangalie utachekwa na elimu yako jitoe ufahamu hivi unajua wenzako walioishia form 4 au la saba wamejielewa kimaisha nikiwa na maana wame endelea #unapoteza Muda au ww Mwanaume wa dar nnNilianza kutafuta ajira tangu kipindi cha mstaafu Jakaya sikuwah pata but sijaacha kutafuta naweza pata awamu hii
Nimeishia la saba vp nikuajiri mm auPole my dear..tupo wengi tunasota kutafuta
Asante kwa mawazo yako lkn sina nyenzo za kunifanya nijiajiriDuh nakuonea huruma kumbe toka jk.. Acha woga jiajiri mwenyewe usiangalie utachekwa na elimu yako jitoe ufahamu hivi unajua wenzako walioishia form 4 au la saba wamejielewa kimaisha nikiwa na maana wame endelea #unapoteza Muda au ww Mwanaume wa dar nn
Siyo lazima ujiajiri kutokana na ulicho somea fanya biashara ndogo ndogo ukuze mtaji then unakuwa na target na biashara kubwa #ni bora Sana kupoteza pesa utairudisha kuliko kupoteza Muda hutoweza urudisha #ujachelea ila ukitaka uchelewe utachelewa na ukitaka kutochelewa hutochelewaAsante kwa mawazo yako lkn sina nyenzo za kunifanya nijiajiri
Safi tu mambo vipiHabari wakuu
Hapana mkuuUmeshapata chimbo
Kweli kabisa MkuuSuala la ajira kwa hii awamu tuliyonayo liweke pembeni kabisa aisee, hali ni mbaya haijawahi kutokea,
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada mimi mwenyewe nina Elimu yangu ya law Pomoja na cheti cha uandishi habar baada ya kuona ajira zinasumbua nikatupa huko sahiv nimejiajiriWakuu bado sijafanikiwa kupata ajira,bado sijachoka kutafuta ingawa wengine wanakufuata pm kwa lengo lakukusaidia na cv unatuma kisha wanapotea jamani mimi namaanisha kweli na bandiko langu
Secretary bado ina fursa wewe,kila leo ajira zake zipoQa
Note: Muwe mnauliza Course ya kusoma Masters b4 hujasoma.
Haya ndio matatizo Best yaliyokukumba na yatakayowakumba wengine..
In fact ulipaswa kusoma nyakati kwa kuangalia labour market imeBase upande gani!
Juzi chuon hapa nawaona wengi wanasoma Course za kipuuzi
Eti.
Masters in Sociology, disaster mgmnt, horticulture, political science, mass com,journalism,secretary,Public relation.
Baada ya muda wanaanzisha thread za kuomba Ajira..
Shwainnn ila Samahan Dada yangu ila huo ndio ukweli..
Mkuu kulikuwa na haja la hili uliloliandika!?Mpigie simu baba yako umuulize alikuwa anakusomesha ili ukafanye kazi kwa mwanaume gani? kama sio yeye kuwa na viwanda na kampuni yake
Sawa mkuuJiunge na group letu la telegram Kuna kazi nazionaga.