Natafuta kazi, nina shahada ya Mass Communications in Public Relations and Marketing

Asante kwa mawazo yako lkn sina nyenzo za kunifanya nijiajiri
Kuna yule sista alikuwa anauza makande Ana masters from ughaibuni .

Embu jaribu mfikirie

Kuna wale wadada wa.moshi wana bachelor zao wanauza nyanya kidijitalj

Kuna.mama mmoja juzi Kati msomi anauza uji wa ulezi plus madikodiko ndani yake anauza chupa 10 per day zile kubwa kikombe Mia tano .

Just imagine anauza ngapi

Uza hio smart foni tafuta hata laki ongezea anza kuchakarika .

Hakuna kazi iliyomfanya.mtu kuwa tajjri Bali biashara na uwekezaji

Juzi Kati Kuna mtu alianza kuuza nguo za mitumba Pale kko kwenye jua alinipa figures anazoingiza kwa siku na mwezi nilistaajabu sana.

Vijana wengi wenye degree mna attitude za kidwanzi eti oooh"mi Nina degree yangu siwezi fanya hio kazi"

Matokeo yake mnadhalilika mtaani nankuishia kusimulia hustle na.mafanikio ya wengine

Pull up your socks dada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee hii comment inanifanya niache kazi hivi karibuni
 
Mkuu siyo kwamba nina kaa bila kujishughurisha hapana kuna wakati nauza vitafunwa kuna wakati nafanya biashara nyingine ndogo ndogo lakini biashara haziendi kihivyo sijui na maeneo yenyewe lkn sijaacha
Mkuu ninahuitaji wa kazi hata nikipata biashara nitafanya lkn kwa sasa naihitaji kazi
 
Hama huko uliko.njoo dar u hustle

"There is no success like dar es salaam success "

Hi qoute nimeitoa kwenye serias ya travelor pale madogo Mambo yashawaharibikia mmoja akamwambia mwenzie "let's go to New York " mwingine " why new York" ajibu "there no success like new York success

The same apply to Tz

Come to dar and Chase your dreams

Mkoani labda uwe mkulima au utafute ndagu

Ngoja nifanye utaratibu mkuu nione navukaje hichi kiunzi.
Nashukuru kwa ushauri
 
'Kuna yule sista alikuwa anauza makande Ana masters from ughaibun'

Msiwe mnawasoma watu kwenye mitandao tu then mnadhani ndivyo mambo yalivyo.Huyo anayeuza makande nenda kaulize Mwz anauzia hayo makande yake wapi?Ofisi zake ziko wapi?Zile ni kiki tu.

Yuko Mwz hapo na hata sasa hivi ukienda yuko anauza dukani kwa dingi ake Spare za magari,ndio wenye villa park,wana mahostel ya maghorofa ya kupangisha wana vyuo.,etc

Sio mchovu huyo.

Kuna yule sista alikuwa anauza makande Ana masters from ughaibuni .

Embu jaribu mfikirie

Kuna wale wadada wa.moshi wana bachelor zao wanauza nyanya kidijitalj

Kuna.mama mmoja juzi Kati msomi anauza uji wa ulezi plus madikodiko ndani yake anauza chupa 10 per day zile kubwa kikombe Mia tano .

Just imagine anauza ngapi

Uza hio smart foni tafuta hata laki ongezea anza kuchakarika .

Hakuna kazi iliyomfanya.mtu kuwa tajjri Bali biashara na uwekezaji

Juzi Kati Kuna mtu alianza kuuza nguo za mitumba Pale kko kwenye jua alinipa figures anazoingiza kwa siku na mwezi nilistaajabu sana.

Vijana wengi wenye degree mna attitude za kidwanzi eti oooh"mi Nina degree yangu siwezi fanya hio kazi"

Matokeo yake mnadhalilika mtaani nankuishia kusimulia hustle na.mafanikio ya wengine

Pull up your socks dada

Sent using Jamii Forums mobile app

dodge
 
Ndo maana nimesema ni maelewano mkuu kutokana na mazingira nitakayokuwa natokea lakin kama kodi ya chumba inahusika ki ukweli inakuwa haitoshi
 
Back
Top Bottom