Natafuta kazi, nina shahada ya Mass Communications in Public Relations and Marketing

Pole sana! nilikaa bila ajira kwa miezi 7 tu ila cha moto nilikipata, na ndio akili ikafanya kazi nikaachana na mawazo ya kuajiriwa, najaribu kufikiria umewezaje kukaa bila ajira kwa miaka 5 na bado una mawazo yaleyale au huna majukumu?

Natamani ningekua na ajira nikupe, pole sana.
 
Ni kwamba tu siwez kuelezea niliyofanya ambayo sijafanikiwa mpaka leo bado nasaka ajira
 
Ni kwamba tu siwez kuelezea niliyofanya ambayo sijafanikiwa mpaka leo bado nasaka ajira
Yanga wanatafuta msemaji wa chama, aliyesomea hayo mambo.
fatilia tangazo lao, ujaribu au si msemaji sana.
 
Nashukuru kwa ushauri mkuu,kama kuzunguka office kwa office na bahasha nimefanya sana tu siyo Mbeya peke yake mpaka Dar ni miaka siyo chini ya mitano nina saka ajira lkn sijakata tamaa naendelea kutafuta
Kujiajiri kunahitaji capital
Pole zyusual-kwa nn hupati kaz? naomba sbb 3
 
Back
Top Bottom