Nimesomea ualimu wa Kiswahili na History, natafuta kazi

cyrax

Senior Member
Mar 12, 2017
105
88
Wakuu habari,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi ni kijana wa miaka 24, nimehitimu chuo mwaka huu UDSM fani ya ualimu History na Kiswahili ninaishi Dar es Salaam.

Ninaomba mnisaidie kupata kazi yoyote ya halali maisha yasonge hali yangu ya kifedha sio nzuri. Nilijaribu kufanya biashara nikiwa chuo na baada ya chuo hazikufanya vizuri ingawa bado sijakata tamaa natafuta nguvu ya kuanza upya.

Nina ujuzi kiasi wa kutumia computer na internet.

Najiamini kufanya yoyote kwa bidii na kwa moyo naweza kujifunza kwa haraka. Naomba mwenye nafasi yoyote anisaidie.

Namba yangu 0752610439

Asante
 
Daah hivi hukujifunza kwa wenzio? hii kada kwa masomo hayo imekua tabu sana
 
Ninachoweza kukushauri ni kwamba jipe muda walau miaka 5 au 6 ndipo utaanza kutengeneza kipto kuanzia mil 1 mpaka 5 kwa mwezi.
Muda huu pambana sana piga kazi yoyote , piga biashara, uza hata pombe .
 
Hali ni tete mtaani uzuri rais kashasema hakuna kula raha muhula huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom