leonardbuba
Member
- Nov 30, 2017
- 47
- 26
Natafuta mwenye kazi ya kuigiza,matangazo ya tv na radio mwenye kuhitaji director,creativity,storywrite na scriptwrite niko available njoo tufanye kazi nina uzoefu na passion katika kuinua kiwanda cha film so filmmaker wenzangu tupeane madili