Natafuta kazi, nina elimu ya shahada ya bima na uzoefu wa miaka miwili

mzee mwala

New Member
Feb 7, 2019
1
45
Habarini wanabodi,

Awali ya yote ningependa kujitambulisha kama member mpya ndani ya familia hii

Nikiwa kijana mwenye umri wa miaka 20s, na elimu ya kiwango cha degree in Insurance And Risk Management, niliyoipata chuo cha usimamizi wa fedha (IFM). Natafuta kazi iwe temporary ama permanent, kwenye kampuni za bima ama nyinginezo

Nina uzoefu wa miaka miwili, katika kampuni mbili tofauti za bima, nikiwa nina uwezo wa kuuza insurance products, kutangaza products(marketing), kulipa madai(claims handling) na kuandikia biashara mpya (underwriting).

Nina sifa pekee kwenye industry hii ya bima ya kuuza na kutangaza bidhaa ndogo ndogo za bima( micro insurance) especially AGRICULTURE INSURANCE vijijini nyanda za juu kusini.

Nimepata wasaa wa kuhudhuria, kushiriki na kuuza insurance products katika mikutano, warsha na kongamano kubwa kubwa, zilizoandaliwa na taasisi za umma na binafsi mbalimbali kama, SAGCOT (southern agricultural growth corridor of Tanzania) BRITEN TANZANIA pamoja na warsha kama nane nane, sabasaba nk

Pia nimepata uzoefu wa kuuza micro health insurance, kwa wakulima nyanda za juu Kusini.

La mwisho ni uwezo wangu wa hali ya juu kwenye uelewa wa haraka na ubunifu (proactive) pamoja na imani ya kufanya kazi kama kundi ( team working)

Ikiwa unaweza kunisaidia, kuniunganisha ana ushauri. Tafadhali njoo inbox ama un email hapa andrewmichael245@gmail.com
Ahsante sana
Mzee mwala


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom