Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 458
Wadau,
Mwenzenu natafuta ajira, nina advanced Diploma ya Journalism & Mass Communication. Uzoefu wangu ni miaka 3 kwenye Media Industry na baadhi ya maeneo niliyobobea ni Communication, Branding, Marketing na Creative Services na nina uzoefu katika uandaaji wa Magazine, TV Show, Video Production, Graphic Design na Animation.
Pia ninaweza kufundisha, ni mwalimu mzuri na ninaweza kusimamia Curriculum Development. Hivyo naomba kama kuna mahali unajua wanaweza kuhitaji mtu mwenye elimu ya Journalism au mojawapo ya huduma hapo juu, niPM tafadhali.