Natafuta kampuni ya usafirishaji au dereva wa kusafirisha vitu vya ndani

issawema

JF-Expert Member
May 30, 2013
776
643
Natafuta kampuni au dereva anihamishie vitu kutoka Dar kuelekea Mafinga na vitu vya ndani kitanda kabati etc...kwenye tar 26 au 270 mwezi huu.

Kama unainua kampuni au ww ni dereva ni PM contacts zako nkutafute.

Aksanteh
 
Ukitafuta kampuni au dereva itakucost gharama kubwa sana nakushauri nenda pale Rombo kaongee na wale jamaa wanaosafirisha ghar za it,, au nenda jangwan ukaongee na wale wanaofata vyakula Mafinga huko
 
yeah ndo maana nmetaka ata dereva ambaye anaelekea hko karibuni kufata chakula au chochote,pia ntafata ushaur wako
 
N
Natafuta kampuni au dereva anihamishie vitu kutoka Dar kuelekea Mafinga na vitu vya ndani kitanda kabati etc...kwenye tar 26 au 270 mwezi huu.

Kama unainua kampuni au ww ni dereva ni PM contacts zako nkutafute.

Aksanteh
Nendal Buguruni Barbara ya Mandela kwa wauza Mbao, Kuna magari mengi Sana yanayoleta Mbao yanayotokea njombe,iringa nk.
 
Back
Top Bottom