MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,586
Ndiyo matatizo ya wanafunzi kupewa 5min break...
Badala ya kupumzika ili akili ilirudi kwenye usawa, anaanza kurumbana na wakubwa zake....
Hebu mwambie teacher gfsonwin akupe hiyo certificate kama bado una hamu ya kuichungulia...
Kaaaaaaahhhh....wengien bila kufinywa hamuelewi??
Babu DC!!
kwani mke hujapata tu mdogo wangu?
yaani warembo wote hawa humu hujampata wa kumkwapua?.........
huna MTAMA? kwi kwi kwiiiiii
ha haaa, mambo ya kuwa mjukuu mtiifu unaona? inabidi ukomae mdogo wanguHahhhahaha Babu leo nimegundua kuwa Da Mkubwa Fixed Point mkorofi khaa.........na pia nimegundua wengine huwa mnatuonea angekuwa MwanajamiiOne hapa angeshafinywa zamani.......................
Ushakuwa kama wanasiasa ambao wanabisha kitu ukiwaletea picha kudhibitisha wanadai ni photoshop.
Certificate yangu ni genuine, tena imekuwa certified na third party kuwa ni ya ukweli kabisa.
ha haaa, fanya selection zako then mimi nitatia baraka....Nataka aliye certified na wewe...:embarrassed1:
babu unataka kurudishwa kwenye mtanange?
ha haaa, babu leo una mimi, lol!
ila naweza kukusetiri usije umbuka kwa wajukuu watiifu akina MwanajamiiOne na FirstLady1....
wewe tutamalizana na mimi kimya kimya
Hahhhahaha Babu leo nimegundua kuwa Da Mkubwa Fixed Point mkorofi khaa.........na pia nimegundua wengine huwa mnatuonea angekuwa MwanajamiiOne hapa angeshafinywa zamani.......................
unafikiri nakubali kirahisi babu?Hakuna cha kumalizana kimya wala nini....
Ukweli unaujua....
Umeshapata tano bora...kachape kitabu mdogo (mdodo) wangu...
Babu DC!!
ha haaaa, umejuaje nimefaulu babu?Hana lolote huyu...
Atakuwa amefaulu test sasa anashangilia kwa kuwachokoza wakubwa zake....
Babu DC!!
unafikiri nakubali kirahisi babu?
labda gfsonwin aje anithibitishie..... yeye namwamini.....
ila hala hala gfsonwin, usipoteze huu uaminifu niliokupa, ole wako upokee rushwa kwa babu....
cc. EMT... wewe nawe nitakubali tu hicho cheti ni cha kweli kama Paw akija kuthibitisha pamoja na King'asti akiwa shahidi, otherwise evidence out....
Hana lolote huyu...
Atakuwa amefaulu test sasa anashangilia kwa kuwachokoza wakubwa zake....
Babu DC!!
ha haaaa, umejuaje nimefaulu babu?
halafu kuna sababu nyingine, hiyo itabidi labda nikuambie chemba, lol!
Duuh nlikua nakuja kifua mbele nkijua nafaa kumbe km Mwanajamiione katolewa nnje mi ndo hata sikaribii haswa. Haya nna, all d best
nimeshakushtukia wewe unataka kujua nyumri za watu humu lol!!
ushindi kabla ushahidi haujatolewa?
au ndo mambo ya kupeana rushwa?
umeshajua mwalimu unamuweza?
unanipa wasiwasi ujue!
ha haaaaa, umeona eeh!Kama SI unit yako ni MwanajamiiOne basi nenda kacheze kidali po na mdako......
Mbado mbado sana mdogo wangu....
Babu DC!!
Umepewa likizo?
Hebu kuwa mwangalifu usije kukaushwa sauti kama teacher...lol!!
Babu DC!!!