Natafuta kaka/dada

Du mi nshapewa category tayari naona...haya ngoja njieke pembeni!

dada Fixed Point natafuta mke...
kwani mke hujapata tu mdogo wangu?
yaani warembo wote hawa humu hujampata wa kumkwapua?.........
huna MTAMA? kwi kwi kwiiiiii
 
Reactions: BAK
Ndiyo biashara ya mujini siku hizi. Asalimiwi mtu kwa sababu ya umri wake.
ha haaa, hiyo tuwaachie wachaga mtani.....
sisi tuendeleze mila na desturi...
umeiona benchmark ya MwanajamiiOne?
jilinganishe hapo kama hufiki angusha tu hiyo salamu.... kama unafika basi itabidi sasa usalimishe cheti
 
Last edited by a moderator:
Mhhhh! Mbona kinafanana na cha kwako au nacho ni cha kuchongwa? LoL!!!! 🙂🙂
rafiki usinitafute......
wewe tumeshaishiana, umejisalimisha..... waache na wenzio wajisalimishe kwa amani.... mbona unawatetea?
 
Reactions: BAK
ha haaa, hiyo tuwaachie wachaga mtani.....
sisi tuendeleze mila na desturi...
umeiona benchmark ya MwanajamiiOne?
jilinganishe hapo kama hufiki angusha tu hiyo salamu.... kama unafika basi itabidi sasa usalimishe cheti
MwanajamiiOne huyu wa juzi aliyekuwa anapelekwa chekechea na hii Datsun?



 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
yaani na wewe umeingia chaka kwa hili licheti la kuchongwa?

Ushakuwa kama wanasiasa ambao wanabisha kitu ukiwaletea picha kudhibitisha wanadai ni photoshop.

Certificate yangu ni genuine, tena imekuwa certified na third party kuwa ni ya ukweli kabisa.
 
Ushakuwa kama wanasiasa ambao wanabisha kitu ukiwaletea picha kudhibitisha wanadai ni photoshop.

Certificate yangu ni genuine, tena imekuwa certified na third party kuwa ni ya ukweli kabisa.
bora umegundua kuwa kuna fotoshop mtani.....
kuna cha kuendelea hapo? si tumeshamaliza?
 
Reactions: BAK
babu longo longo ya nini?
nimiza vigezo na masharti, ujiweke huru, lol!
by the way unajua wafungwa huwa wanaruhusiwa kuwa na wageni? ha haaaaa:tape:


Ndiyo matatizo ya wanafunzi kupewa 5min break...

Badala ya kupumzika ili akili ilirudi kwenye usawa, anaanza kurumbana na wakubwa zake....

Hebu mwambie teacher gfsonwin akupe hiyo certificate kama bado una hamu ya kuichungulia...

Kaaaaaaahhhh....wengien bila kufinywa hamuelewi??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, babu leo una mimi, lol!
ila naweza kukusetiri usije umbuka kwa wajukuu watiifu akina MwanajamiiOne na FirstLady1....
wewe tutamalizana na mimi kimya kimya
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…