Mkoloni kanibanaajeee...ila i will be available soon.
But i do remember u always...especially in my prayers.
Mdogo wangu Arabela dada yetu anakuita mpigie simu ana la kukawambia. Umesikia eeh mdogo wangu.
ha haa, hujambo mdogo wangu?Yaani babu twakomajee? huyu dada yetu Fixed Point ana mkwaraa.
Yaani tunatoa shkamoo kama dosi......nna was was nawewe utaambiwa AMKIAA....si umeonaaa amesema VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA.
Ila mimi nimesalimu amri....maana ni dada yangu kabisaaa....sasa kwako sijui itakuwaje.
Sitaki hata kuwa shahidi.
usijali mdogo wangu... mtafute dadako KOKUTONA utapata kila kitu.....sis KOKUTONA tumepata dada now. Ntampigia anipe busara zake... Sis Fixed Point nakupenda sana
ah mambo ya hexagony sijui nini mi nawezaje sasa kuhesabu!
sis KOKUTONA tumepata dada now. Ntampigia anipe busara zake... Sis Fixed Point nakupenda sana
marahabaaaaa mdogo wangu....Fixed Point shikamo
igweeeeeeeeeee
nimechelewa kufungua lisredi kama hujapata mdogo niambie nimwage wasifu wangu
ha haaa, machozi yatanitoka ujue.......Yaani mdogo wangu huyu dada mzuri achaaa....we m call afu utaniambia.
ha haa, hujambo mdogo wangu?
bora usitake ushahidi, maana ni majanga
ha haaa, you know why.....yani mi dadangu nakukubalia pande hii!
mmuvuzisho wa sredi bana!
asante mdogo wangu.... I need it....
maana huko tunakoelekea sioni uelekeo wa kupata dada/kaka humu... wote madogo, lol!
hapa nimeingia chaka, lol!aiseee mi ngonja ni kuweke hapa.............
ha haaa, ni kweli binamu....binamu shaka ondoa....ukitaka kudeka hapa kuwa huru tu.... unaweza kupata hao makaka aua wadada lakini ukakuta magalasa.... binamu
Marahaba mdogo wangu na wote uliowaalika waamkie natanguliza marahaba. Asante sana kwani umekua mpole ghafla hii inapendeza sana.Daah.... Kweli ngoja tu niwape heshima zenu..!!!!!!
SHKAMOO dada Fixed Point
SHKAMOO dada MwanajamiiOne
SHKAMOO dada Ablessed
cc: Queen Kan na Evelyn Salt hebu njooni muwasalimie wakubwa zetu lol!!
Nikome nakwambia nikome!! late sixties mi nlikuwa mwalimu Minaki Sekondari. Ukiendelea kunifananisha na hawa vijana wa TANU ntakucharaza bakora!!hahahhaah! mwali mie nimekwambia ukweli usiopingika kabisa.
na tatizo langu ni moja huwaga sisemi uongo hasa kwenye vitu siriaz. Mamndenyi halina ubishi kabisa kwamba she ia elder than anybody among the mentioned one. i did respect you Mamndenyi. Wewe ni mama kwangu. mwaJ na mimi hilo nakuachia wewe uamue
kwa Dark City, CHUAKACHARA, Asprin na Superman hawa nakwambia huwakuti kiumri wa kuzaliwa. naweza guess wamezaliwa late 60"s.
kidogo wewe waweza kuwa umelingana umri na Maxence Melo, Liverpool fc, Kaunga (u cant deny it), paka jimmy