inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,807
- 22,633
Hivi ni sauti au swautwi?
Nilimsikia mmoja akisema sheitwan badala ya shetani.... Nikabak mdomo wazi kama mashimo yaliyoachwa na makinikia
una ushahidi wa aya au kinywa kina ashk ya kuonge?Qur'an inakataza aina zote za Muziki.
Kuimba Qaswida ni Bid'aa
Kuimba Qaswida ni dhambi.
Wanaoimba ni waislam wa BAKWATA tu,
ILA, Waislam swafi wasunni wa BALUKTA hawatambui huo ujinga wa kumkosea Mtume Muhammad (S.A.W) kwa makusudi.