Subiri wengine..Asante sana mkuu, lakini nadhani haukunielewa. Naitaka ile jingle wanayoipiga Clouds, hii ninayo muda mrefu tu..
Mmmh sio kwelMwaka 2012 kama skosei.. boti ilikuwa yatokea Dar kwenda Unguja
Mkuu nami naitafta sana hii jingle. Nimewaomba rafki zangu kadhaa wambao niwaisalam hawana. So plz ukipata turushie hapa janvini.Shalom,
Nimetokea kuipenda sana hiyo jingle. Kama kuna mtu anayo humu naomba anipatie, nitashukuru sana.
Naisikia redioni kila siku kwa wale wasikilizaji wa Clouds fm watakuwa wamenielewa.
Natanguliza shukrani..
JingleHujasoma nataka nini boss wangu?
Shalom,
Nimetokea kuipenda sana hiyo jingle. Kama kuna mtu anayo humu naomba anipatie, nitashukuru sana.
Naisikia redioni kila siku kwa wale wasikilizaji wa Clouds fm watakuwa wamenielewa.
Natanguliza shukrani..
Ooh masikini sikuwa najua. Alale pema peponi InshaAllahAlifariki kwenye ajali ya Boti ya MV Skaget.. R.I.P
WasalaaamShalom,
Nimetokea kuipenda sana hiyo jingle. Kama kuna mtu anayo humu naomba anipatie, nitashukuru sana.
Naisikia redioni kila siku kwa wale wasikilizaji wa Clouds fm watakuwa wamenielewa.
Natanguliza shukrani..
Mmmh itakuwa kakosea huyu maana hata mimi najua huyu Dada yu mzima. Ngoja tutajua lakiniNadhani umechanganya desa hapa mkuu.. Arafah mwaka huu nimeshuhudia onesho lake la kuukaribisha mwezi mtukufu wa ramadhani pale Al-Haramain..
wallah mtoto swautwi yake maashallah,angekua wangu ingekua sharti aniimbie kabla ya kulalaMmmh sio kwel
UbarikiweHii hapa..
OkKiibrania iko mkuu
0685520568 plz naomba nitumie mkuu....Nnayo full audio,nipe namba ya simu,nkutumie kwa watsup