Nnayo full audio,nipe namba ya simu,nkutumie kwa watsupShalom,
Nimetokea kuipenda sana hiyo jingle. Kama kuna mtu anayo humu naomba anipatie, nitashukuru sana.
Naisikia redioni kila siku kwa wale wasikilizaji wa Clouds fm watakuwa wamenielewa.
Natanguliza shukrani..
Tuwekee hapa nasi tupakueNnayo full audio,nipe namba ya simu,nkutumie kwa watsup
Weka hapa kiongoziNnayo full audio,nipe namba ya simu,nkutumie kwa watsup
Alifariki kwenye ajali ya Boti ya MV Skaget.. R.I.PNi kaswida hyo kaimba mtoto wa kizanzibari anaitwa ARAFA ABDILLAH itafute ,,,, Jina langu ramadhan
Jf hakukosekanagi kitu duhHii hapa..
Mwaka 2012 kama skosei.. boti ilikuwa yatokea Dar kwenda UngujaAmefariki lini?!
Unataka kuingia studio mkuu?Shalom,
Nimetokea kuipenda sana hiyo jingle. Kama kuna mtu anayo humu naomba anipatie, nitashukuru sana.
Naisikia redioni kila siku kwa wale wasikilizaji wa Clouds fm watakuwa wamenielewa.
Natanguliza shukrani..
Kiibrania iko mkuuHiyo shalom ndo nini?