Natafuta ''Jina langu Ramadhani'' (Clouds FM Jingle)

Jaman mm nmeingia google nkakuta vitu vinavyoashiria hayo yaliyosemwa apo awali kuhusu dada arafa huyu kufariki hebu wajuvi mkuje mfafanue vizuri kuhusu hili jamani
 
Ni kaswida hyo kaimba mtoto wa kizanzibari anaitwa ARAFA ABDILLAH itafute ,,,, Jina langu ramadhan
Qur'an inakataza aina zote za Muziki.

Kuimba Qaswida ni Bid'aa

Kuimba Qaswida ni dhambi.

Wanaoimba ni waislam wa BAKWATA tu,

ILA, Waislam swafi wasunni wa BALUKTA hawatambui huo ujinga wa kumkosea Mtume Muhammad (S.A.W) kwa makusudi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom