nandengele
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 689
- 810
BN filling station or western filling stationWadau habarini.
Ninatarajia kufungua Kituo Cha Mafuta, awali nililipenda jina la kituo liwe OTTO OIL Service Station. Nimeangalia BRELA jina hili limeshatumiwa.
Nililipenda jina hilo la OTTO kwa sababu linashabihana sana na neno Auto, pia ni jepesi kulitamka na kulikariri pia. Pia herufi zake ni nyepesi na zinaonekana vizuri.
Nimejaribu kutafuta jina jingine lenye sifa kama nilivyotaja hapo juu bado sijapata, nimegoogle pia bado sijapat Idea nyingine.
Najua hapa ni kwa GT naweza pata Ideas ya jina la kituo cha mafuta yaani Fuel Station.
Atakefanikisha upatikanaji wa jina lenye sifa nilizotaja nitamzawadia kwa Ubunifu wake.
Natanguliza Shukrani zangu kwa yeyote atakaejishughulisha na hili.
FCC wanaweza wakakushauri kutolitumia maana linafanana na Afro OilHii ninaishortlist
Kidogo niseme " UTOPOLO PETROL STATION"...[emoji3]UOTO PETROL STATION
Asante kwa taarifa nitacheck BRELAFCC wanaweza wakakushauri kutolitumia maana linafanana na Afro Oil
Asante nayalinganishaZERO Petrol station, PAI Petrol station, ZAMU Petrol station.
Chagua moja hapo mkuu
Utamu huo kwio? 🙄Naona kama lipo too common, halileti utamu kulitamka.
Asante kwa mchango wako japo rangi tumetumia silver /grey tumechanganya na red.Kwanza kuna vitu viwili vya kuzingatia wakati wakubrand kituo chako nadhani cha kwanza ni jina na pili ni rangi utakayotumia kwenye kituo chako.
kwa haraka haraka mimi naanza na rangi utakazotumia ambapo nitapendekeza utumie rangi mbili blue & white kituo chote kiwe kwa rangi ya blue maandishi na logo za kituo ziwe nyeupe.
udisign uweke yale maandishi 3d na jina la kituo chako nadhani ungekiita BLUE OCEAN nimependa utumie ocean kwasababu bidhaa unayouza ni ya kimiminika kwa hiyo hii ocean si maji bali ni "mafuta".
BLUE OCEAN PETROL STATION na logo ya kituo chako iwe ya ubunifu anaweza akawa hata ndege au mnyama utaekaa juu ya hilo jina la kituo chako,ni maswala ya ubunifu tu.