Natafuta infinix zero 5

Natafuta infinix zero 5

Nipe namba zake na mm,, mi natumia infinix hot 3 simu tamu balaa
Si kaziweka humu humu angalia uchukue.ila yeye anauza 850,000/= kwa infinix zero 5 pro na 650,000/= kwa infinix zero 5.Bei yake iko juu
 
Hzi mi sina kuna jamaa anazo mbeya sijajua anapush bei gani?
Naomba niulizie mkuu mana napiga hapokei natuma text hajibu na texts za whatsap zinasoma blue ticks kabisa.
Nashida sana na hii simu
 
Anayehitaji infinix zero 5 au infinix zero 5 anitafute zimekwishapatikana kwa wingi Namanga Arusha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom