Natafuta imersible water pump (shimge) 0.75hp

Kwitogelo

JF-Expert Member
Jan 18, 2023
310
440
Wakuu habari?

Vibaka wameniotea bwana wakaamua kuniachia box lake tu, sasa nimezunguka kuitafuta nmekosa. Kama kuna duka kwa DSM hapa nielekezeni ase.

IMG_20230219_100820_1.jpg
IMG_20230219_100820_1.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom