Natafuta Idea ya System Itakayozalisha Kipato

robbinhood

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2020
Posts
538
Reaction score
1,532
Habari wapambanaji wenzangu,

Natumai mko salama.

Naomba ushauri na mawazo yenu ya kibiashara. Mimi ni Full Stack Developer mwenye uzoefu wa kufanya/kushiriki project tofauti tofauti ndani na nnje ya nnchi, ikiwemo,

Mfumo wa PQCS(Process Quality Control System)– Kenya (AVA & ISUZU), Pia custom ERP system Kwa taasisi chache hapa nnchini .

kwa sasa natafuta business ideas ambazo naweza kuzigeuza kuwa software (system au service) itakayoweza kuingiza kipato cha kudumu.

Vilevile, niko wazi kwa partnership — kama una idea nzuri, unaweza kuileta tujadili, kisha nita-develop system

Karibuni sana 🙏,
PM ipo wazi pia
Asanteni.
 
Betting mkuu

adriz de mbusii
 
Nipo najaribu kuipitia online, nipate general overview,
Yep! Hiyo mifumo ni pes tupu... ukitulia na ukaweza kucustomize utakuwe bora sana finacialy, kuna jamaa hapa bongo wanaendesha app kama airbnb ya hotels za bongo hapa na booking

Lakin wewe unatakiwa uwe na mfumo unaoishia katika operation level ya kitivo husika. Yan PMS
 
Unataka upewe idea afu upige pesa mwenyewe.

Anyway, yeyote anayetaka kutoa idea yake ya kibiashara, ahakikishe ipo kwa maandishi, na atafute mtu wa sheria ili amsaidie kuandaa mkataba na mambo ya kisheria.

Kisha ndo utoe idea, ili kupunguza sintofahamu hapo baadae. coz Watu hugeukana.

Unampa mtu idea ambayo pengine hakuwa nayo, ila ukimaliza kumwelezea tu unashangaa atakwambia, "hii idea hata mie nilikuwa nayo" 😎 hapo kashakuibia tayari
 
Yep! Hiyo mifumo ni pes tupu... ukitulia na ukaweza kucustomize utakuwe bora sana finacialy, kuna jamaa hapa bongo wanaendesha app kama airbnb ya hotels za bongo hapa na booking

Lakin wewe unatakiwa uwe na mfumo unaoishia katika operation level ya kitivo husika. Yan PMS

Yaah hii nzuri kaka,
Nitalifanyia kazi ngoja nifanye research kidogo kwenye hili then, nitarudi

Allow me nikuje PM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom