Natafuta sehemu ya kufanya kazi part time

Null Pointer

Member
Jan 1, 2020
9
45
Salaam Wakuu!

Poleni na majukumu. Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 30. Ninaishi Dar es salaam. Nimeajiriwa kama Software Developer sehemu fulani. Natafuta sehemu ya kufanya part time nje ya muda wa kazi. Lengo ni kuongeza kipato na pia kupata uzoefu nje ya mazingira ya kazi.

Nimesoma degree ya BSc in Computer Engineering and IT. Nina uzoefu wa miaka 6 kwenye fani ya Tehama.

Kazi ambazo nimewahi kuzifanya ni pamoja na:
 • Requirement gathering, requirement analysis, system designing, system development, system deployment and maintenance of web applications and mobile applications (Android).
 • Integration of information management systems using REST APIs and JSON
 • Integration of information management systems with bulk SMS providers and USSD service providers.
 • Database designing and development. This includes creation of tables and normalizing them for optimum usage as per user requirements.
 • Epicor ERP customization and report development.
Tools na frameworks ambazo nina uzoefu nazo ni pamoja na:
 • Programming languages: PHP, Java, C, C#, JavaScript, Objective C, Swift
 • PHP Frameworks: Yii 1, Yii 2, laravel
 • Java Frameworks: Vaadin
 • IDEs and text editors: Netbeans, Eclipse, Android Studio, Xcode, Notepad++
 • API development tools: Postman
 • Relationship Database Management Systems (RDBMS): SQL Server, MySQL, MariaDB, SQLlite.
 • Database Tools: Microsoft SQL Server Management Studio, MySQL Workbench, XAMP, WAMP
 • Mobile Application Development: Android
 • Code Versioning Tools: Git, Mercurial
Sehemu ambazo napendelea kufanya kazi ni pamoja na:
 • Taasis za elimu zinazofundisha masomo ya IT. Binafsi ningependa kupewa nafasi ya kufundisha masomo ya Software Development na Database Management. Nina uelewa mzuri wa Object Oriented Programming, Software Development Life Cycle na maswala ya Database Development. Ndio vitu ninavyofanya kwenye kazi zangu za kila siku. Nina GPA ya 4.0 ya undergraduate.
 • Taasis na makampuni zenye uhitaji wa mtaalam wa kuunda mifumo mipya, ku-debug mifumo ambayo ishatengenezwa na kuboresha mifumo kulinganga na mabadiliko ya uendeshaji wake (Business Process).
Sifa binafsi:
 • Najua kuongea na kuandika kiingereza vizuri
 • Mimi huwa naendana na muda
 • Ni mwepesi kujifunza vitu vipya na nimsikivu.
 • Ni kijana mwaminifu sana na mwenye hofu ya Mungu.
Kwa yoyote mwenye kunisaidia kwa hili ombi langu, tafadhali ni PM.

Asanteni
 
Elon Mzebuluni

Senior Member
Jan 22, 2016
137
225
Kwema mkuu,
Kwa skills zako hizo anza kufanya freelancing kama part time/side hustle.

zeus47

Senior Member
Jul 27, 2014
183
250
Siku hizi watu hawahangaiki writing all those long essays, ni mwendo wa kushare github account yako watu wacheck your repositories and projects, au kama una portfolio unatupia. Don't try too hard to look good on papers in tech industry, put your efforts in showing people what you are capable of doing in links with live demos. Tumia LinkedIn kwa sana, mbona utakula shavu tu kama wengine hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Null Pointer

Member
Jan 1, 2020
9
45
Asante mkuu kwa ushauri. Nitaufanyia kazi.

Siku hizi watu hawahangaiki writing all those long essays, ni mwendo wa kushare github account yako watu wacheck your repositories and projects, au kama una portfolio unatupia. Don't try too hard to look good on papers in tech industry, put your efforts in showing people what you are capable of doing in links with live demos. Tumia LinkedIn kwa sana, mbona utakula shavu tu kama wengine hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom