Natafuta Hotuba ya Mwalimu Bunge la Afrika Kusini

mafutamingi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
2,772
2,171
Natafuta hotuba nzima ya Mwalimu Nyerere katika Bunge la Afrika Kusini. Kila ninapotafuta Youtube napata clip fupi
za dakika 2 au tatu. Wapi naweza kupata hotuba nzima?
 
Natafuta hotuba nzima ya Mwalimu Nyerere katika Bunge la Afrika Kusini. Kila ninapotafuta Youtube napata clip fupi
za dakika 2 au tatu. Wapi naweza kupata hotuba nzima?
Ukipata nijulishe manake ni hotuba maarufu sana. Zamani tulikuwa na viongozi competent sio siku hizi wamekuwa wanajifungia ndani na hawana diplomacy yoyote.
 
Back
Top Bottom