Natafuta Hotuba ya MAGUFULI

Mgombezi

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
610
178
Wana JF, natafuta hotuba ya Mheshimiwa Magufuli inayohusisha takwimu za ullaji nyama na kunywa maziwa hapa Tanzania. Nakumbuka ilihusisha na idadi ya mifugo Tanzania wakiwemo ng'ombe na kuku.

Naomba hizo statistics.
 
Back
Top Bottom